JENTEKOR FRA TAMAU PRIMARY SCHOOL

{short description of image}

SANGER PÅ SWAHILI

Mungu Ibariki

Mungu ibariki Afrika
wabariki wiongozi wake.
Hekima umoja na amani.
Mungu ibariki.
Afrika na watu wake.
Ibariki Tanzania
wabariki
watoto na watu wake.

 
Simama kaa.

Simama kaa,
simama kaa.
Ruka, ruka ruka.
Simama kaa.

Enkel ordforklaring:
simama = stå
kaa = sitt
ruka = hopp

BARNETEGNINGER FRA BUNDA

{short description of image}   {short description of image}